WIMBO NA. 25 Mali ya Pekee Chagua Rekodi ya Sauti Mali ya Pekee Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (1 Petro 2:9) 1. Mungu ana taifa, la watiwa-mafuta. Aliowanunua, wawe mali yake. (KORASI) Mali ya pekee, Watu wa jina lake. Wanaompenda. Wanatangaza sifa zake. 2. Ni taifa teule, Wateteao kweli. Wametoka gizani, Amewapa nuru. (KORASI) Mali ya pekee, Watu wa jina lake. Wanaompenda. Wanatangaza sifa zake. 3. Na kondoo wengine, Wawakusanya pia. Wa’minifu kwa Kristo, na utume wao. (KORASI) Mali ya pekee, Watu wa jina lake. Wanaompenda. Wanatangaza sifa zake. (Ona pia Isa. 43:20b, 21; Mal. 3:17; Kol. 1:13.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Mali ya Pekee ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Mali ya Pekee (Wimbo Na. 25) Lugha ya Alama ya Tanzania Mali ya Pekee (Wimbo Na. 25) https://assetsnffrgf-a.akamaihd.net/assets/ct/e781f8601f/images/syn_placeholder_sqr.png sjj 25