WIMBO NA. 27 Kufunuliwa kwa Wana wa Mungu Chagua Rekodi ya Sauti Kufunuliwa kwa Wana wa Mungu Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Waroma 8:19) 1. Tunasubiri kwa hamu Wana wateule Wafunuliwe mbinguni Pamoja na Kristo. (KORASI) Mungu atawafunua Pamoja na Kristo. Watashiriki ushindi Na kuthawabishwa. 2. Tarumbeta italia Wote wakusanywe. Watiwa mafuta wote Wajiunge naye. (KORASI) Mungu atawafunua Pamoja na Kristo. Watashiriki ushindi Na kuthawabishwa. (DARAJA) Wakiwa na Yesu Kristo, Wapigane vita. Kisha shangwe ya harusi, Ya mwana-kondoo. (KORASI) Mungu atawafunua Pamoja na Kristo. Watashiriki ushindi Na kuthawabishwa. (Ona pia Dan. 2:34, 35; 1 Kor. 15:51, 52; 1 The. 4:15-17.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Kufunuliwa kwa Wana wa Mungu ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Kufunuliwa kwa Wana wa Mungu (Wimbo Na. 27) Lugha ya Alama ya Tanzania Kufunuliwa kwa Wana wa Mungu (Wimbo Na. 27) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016827/sign/wpub/1102016827_sign_sqr_xl.jpg sjj 27