WIMBO NA. 32 Simama Upande wa Yehova! Chagua Rekodi ya Sauti Simama Upande wa Yehova! Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Kutoka 32:26) 1. Tulichanganyikiwa mwanzoni, Tulinyweshwa uwongo wa dini. Tulipopata habari njema, Tulifurahi sana. (KORASI) Simama upande, Wake Yehova. Yah hatakuacha; Nenda nuruni. Na habari njema, Kote tangaza. Ufalme wa Kristo, Hautakoma. 2. Bega kwa bega twatumikia, Twautangaza Ufalme kote. Watu wote wajiamulie, Kuwa upande Wake. (KORASI) Simama upande, Wake Yehova. Yah hatakuacha; Nenda nuruni. Na habari njema, Kote tangaza. Ufalme wa Kristo, Hautakoma. 3. Hatutamwogopa Ibilisi, Tunamtegemea Yehova. Japo ni wengi, sisi wachache, Mungu ni ngome yetu. (KORASI) Simama upande, Wake Yehova. Yah hatakuacha; Nenda nuruni. Na habari njema, Kote tangaza. Ufalme wa Kristo, Hautakoma. (Ona pia Zab. 94:14; Met. 3:5, 6; Ebr. 13:5.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Simama Upande wa Yehova! ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Simama Upande wa Yehova! (Wimbo Na. 32) Lugha ya Alama ya Tanzania Simama Upande wa Yehova! (Wimbo Na. 32) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016832/sign/wpub/1102016832_sign_sqr_xl.jpg sjj 32