WIMBO NA. 33 Mtupie Yehova Mzigo Wako Chagua Rekodi ya Sauti Mtupie Yehova Mzigo Wako Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Zaburi 55) 1. Ee Yehova nakuomba, Usijifiche mbali. Sikiliza, unijibu, Ili nisiogope. (KORASI) Mtupie Yah mzigo; Naye atakutegemeza. Hataacha utikiswe, Atakuimarisha. 2. Kama ningekuwa njiwa, Ningeruka nyikani, Mbali na watu waovu, Watendao jeuri. (KORASI) Mtupie Yah mzigo; Naye atakutegemeza. Hataacha utikiswe, Atakuimarisha. 3. Yehova hutufariji, Na kutupa amani. Ijapo tunalemewa, Ana fadhili nyingi. (KORASI) Mtupie Yah mzigo; Naye atakutegemeza. Hataacha utikiswe, Atakuimarisha. (Ona pia Zab. 22:5; 31:1-24.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Mtupie Yehova Mzigo Wako ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Mtupie Yehova Mzigo Wako (Wimbo Na. 33) Lugha ya Alama ya Tanzania Mtupie Yehova Mzigo Wako (Wimbo Na. 33) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016833/sign/wpub/1102016833_sign_sqr_xl.jpg sjj 33