WIMBO NA. 5 Kazi za Mungu za Ajabu Chagua Rekodi ya Sauti Kazi za Mungu za Ajabu Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Zaburi 139) 1. Mungu, wanijua vizuri, Nilalapo na niamkapo. Na fikira zangu umechunguza, Maneno na matendo yangu wajua. Sirini nilipofanyizwa, Uliiona mifupa yangu. Yote yalikuwa yameandikwa. Unastahili sifa na utukufu. Ee, Yehova, una hekima nyingi; Nafsi yangu inajua vema. Hata katika giza la usiku, Roho yako itaniongoza. Yehova nijifiche wapi, Kutoka mbele za uso wako? Si Kaburini wala si mbinguni, Gizani wala baharini, siwezi. (Ona pia Zab. 66:3; 94:19; Yer. 17:10.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Kazi za Mungu za Ajabu ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Kazi za Mungu za Ajabu (Wimbo Na. 5) Lugha ya Alama ya Tanzania Kazi za Mungu za Ajabu (Wimbo Na. 5) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016805/sign/wpub/1102016805_sign_sqr_xl.jpg sjj 5