WIMBO NA. 53 Kujitayarisha Kuhubiri Chagua Rekodi ya Sauti Kujitayarisha Kuhubiri Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Yeremia 1:17) 1. Mapema, Asubuhi, Siku ya kuhubiri. Kungali giza, Na mvua yaanza. Twatamani kuendelea Kulala. (KORASI) Tutafanikiwa kwa sala, Na matayarisho; Nao mtazamo mzuri, Twahitaji. Malaika wanaongoza. Yesu wamtii. Bega kwa bega na wenzetu, Hatushindwi. 2. Furaha, Tutapata Tukikumbuka hili: Bidii yetu, Yehova aona. Upendo wetu akumbuka, Twajua. (KORASI) Tutafanikiwa kwa sala, Na matayarisho; Nao mtazamo mzuri, Twahitaji. Malaika wanaongoza. Yesu wamtii. Bega kwa bega na wenzetu, Hatushindwi. (Ona pia Mhu. 11:4; Mt. 10:5, 7; Luka 10:1; Tito 2:14) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Kujitayarisha Kuhubiri ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Kujitayarisha Kuhubiri (Wimbo Na. 53) Lugha ya Alama ya Tanzania Kujitayarisha Kuhubiri (Wimbo Na. 53) https://assetsnffrgf-a.akamaihd.net/assets/ct/e781f8601f/images/syn_placeholder_sqr.png sjj 53