WIMBO NA. 57 Kuwahubiria Watu wa Namna Zote Chagua Rekodi ya Sauti Kuwahubiria Watu wa Namna Zote Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (1 Timotheo 2:4) 1. Twatamani kumwiga Yehova, Mungu asiye na ubaguzi. Ni mapenzi yake watu wote, Wapate uzima wa milele. (KORASI) Hatutazami sura; Wala hali za watu. Twatangazia wote ujumbe. Kwa kuwa twawajali, Twawakaribisha wote, Wawe rafiki za Yehova. 2. Haidhuru wapatikanapo, Wanavyoonekana mwanzoni. La muhimu, walivyo moyoni— Alivyo yule mtu wa ndani. (KORASI) Hatutazami sura; Wala hali za watu. Twatangazia wote ujumbe. Kwa kuwa twawajali, Twawakaribisha wote, Wawe rafiki za Yehova. 3. Yehova awapa wote fursa, Waache njia za ulimwengu. Tuna hamu kujulisha wengi, Basi tuwahubirie wote. (KORASI) Hatutazami sura; Wala hali za watu. Twatangazia wote ujumbe. Kwa kuwa twawajali, Twawakaribisha wote, Wawe rafiki za Yehova. (Ona pia Yoh. 12:32; Mdo. 10:34; 1 Tim. 4:10; Tit. 2:11.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Kuwahubiria Watu wa Namna Zote ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Kuwahubiria Watu wa Namna Zote (Wimbo Na. 57) Lugha ya Alama ya Tanzania Kuwahubiria Watu wa Namna Zote (Wimbo Na. 57) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016857/sign/wpub/1102016857_sign_sqr_xl.jpg sjj 57