WIMBO NA. 6 Mbingu Zatangaza Utukufu Wa Mungu Chagua Rekodi ya Sauti Mbingu Zatangaza Utukufu Wa Mungu Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Zaburi 19) 1. Mbingu, nyota, zamtukuza Mungu. Uumbaji wake, angani twaona. Kila siku, wamsifu Mungu. Fahari na nguvu zake, mwezi watangaza. 2. Sheria ya Yehova ni kamili. Vikumbusho vyake, huongoza wote. Maamuzi yake yanafaa. Neno lake ni hakika, sheria ni safi. 3. Kumwogopa Yehova kwastahili. Nazo amri zake, zapita dhahabu. Maagizo yake hutulinda. Jina lake takatifu tunalitukuza. (Ona pia Zab. 111:9; 145:5; Ufu. 4:11.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Mbingu Zatangaza Utukufu Wa Mungu ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Mbingu Zatangaza Utukufu Wa Mungu (Wimbo Na. 6) Lugha ya Alama ya Tanzania Mbingu Zatangaza Utukufu Wa Mungu (Wimbo Na. 6) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016806/sign/wpub/1102016806_sign_sqr_xl.jpg sjj 6