WIMBO NA. 61 Songeni Mbele, Enyi Mashahidi! Chagua Rekodi ya Sauti Songeni Mbele, Enyi Mashahidi! Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Luka 16:16) 1. Watu wa Mungu wameazimia, Kazi ya kuhubiri itatimia. Shetani akiwavamia, Kwa nguvu za Mungu wavumilia. (KORASI) Haya tusonge mbele Ee Mashahidi! Kufanya kazi ya Mungu na tuzidi! Yaja Paradiso aliyoahidi, Yehova Mungu tumhimidi. 2. Askari wa Yehova wanakesha. Ulimwengu hautawatetemesha. Na uovu wajiepusha. Utimilifu wetu twadumisha. (KORASI) Haya tusonge mbele Ee Mashahidi! Kufanya kazi ya Mungu na tuzidi! Yaja Paradiso aliyoahidi, Yehova Mungu tumhimidi. 3. Enzi ya Mungu yadharauliwa. Jina lake kuu limechafuliwa. Karibuni litatakaswa. Mbele za wote litatambulishwa. (KORASI) Haya tusonge mbele Ee Mashahidi! Kufanya kazi ya Mungu na tuzidi! Yaja Paradiso aliyoahidi, Yehova Mungu tumhimidi. (Ona pia Kut. 9:16; Flp. 1:7; 2 Tim. 2:3, 4; Yak. 1:27.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Songeni Mbele, Enyi Mashahidi! ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Songeni Mbele, Enyi Mashahidi! (Wimbo Na. 61) Lugha ya Alama ya Tanzania Songeni Mbele, Enyi Mashahidi! (Wimbo Na. 61) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016861/sign/wpub/1102016861_sign_sqr_xl.jpg sjj 61