WIMBO NA. 66 Tangaza Habari Njema Chagua Rekodi ya Sauti Tangaza Habari Njema Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Ufunuo 14:6, 7) 1. Kusudi la Yehova ametangaza, Yale Ufalme utayatekeleza. Yehova kwa rehema atubariki, Kuangamiza wanadamu hataki. Kristo taji Yehova amemvika. Na wakati wa utawala umefika. Bibi-harusi wa Kristo yu tayari, Kundi dogo la wasio na dosari. 2. Habari njema leo tunatangaza. Twataka wote wazisikie sasa. Na malaika wanatutegemeza, Kazi ya Ufalme kuitekeleza. Tuna pendeleo kubwa leo hasa, Jina la Yehova Mungu kulitakasa. Tumependelewa kuwa Mashahidi. Kutangaza habari njema tuzidi. (Ona pia Marko 4:11; Mdo. 5:31; 1 Kor. 2:1, 7.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Tangaza Habari Njema ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Tangaza Habari Njema (Wimbo Na. 66) Lugha ya Alama ya Tanzania Tangaza Habari Njema (Wimbo Na. 66) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016866/sign/wpub/1102016866_sign_sqr_xl.jpg sjj 66