WIMBO NA. 69 Songeni Mbele, Tangazeni Ufalme! Chagua Rekodi ya Sauti Songeni Mbele, Tangazeni Ufalme! Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (2 Timotheo 4:5) 1. Songeni mbele, tangazeni, Wote na wasikie. Na tusaidie wapole, Wajiunge na sisi. Utumishi wetu kwa Mungu, Kwa kweli ni pendeleo. Basi twende tukatangaze, Jina tukufu la Mungu. (KORASI) Songa mbele, tangaza Ufalme kwa ujasiri. Songa mbele, simama upande wake Yehova. 2. Tunasonga mbele pamoja, Tukiwa Mashahidi. Wazee, vijana, na wake, Sambamba na ukweli. Wote wapate kusikia, Ujumbe huo muhimu. Twamtegemea Yehova, Hatuogopi chochote! Songa mbele, tangaza Ufalme kwa ujasiri. Songa mbele, simama upande wake Yehova. (Ona pia Zab. 23:4; Mdo 4:29, 31; 1 Pet. 2:21.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Songeni Mbele, Tangazeni Ufalme! ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Songeni Mbele, Tangazeni Ufalme! (Wimbo Na. 69) Lugha ya Alama ya Tanzania Songeni Mbele, Tangazeni Ufalme! (Wimbo Na. 69) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016869/sign/wpub/1102016869_sign_sqr_xl.jpg sjj 69