WIMBO NA. 70 Tafuteni Wanaostahili Chagua Rekodi ya Sauti Tafuteni Wanaostahili Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Mathayo 10:11-15) 1. Tunapohubiri na kufundisha, Bwana alituagiza: ‘Popote mwingiapo, tafuteni, Wastahilio, wenye njaa. Wasalimuni na kuwatakia, Amani wenye kustahili. Wengine wasipowasikiliza, Wakung’utieni mavumbi.’ 2. Wote wanaowapokea ninyi, Wanampokea Bwana. Tumaini la uzima Litawachochea wajiunge nanyi. Msihangaikie la kusema, Yehova atawawezesha. Maneno ya fadhili, yenye chumvi, Yatawavutia wapole. (Ona pia Mdo. 13:48; 16:14; Kol. 4:6.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Tafuteni Wanaostahili ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Tafuteni Wanaostahili (Wimbo Na. 70) Lugha ya Alama ya Tanzania Tafuteni Wanaostahili (Wimbo Na. 70) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016870/sign/wpub/1102016870_sign_sqr_xl.jpg sjj 70