WIMBO NA. 71 Sisi Ni Jeshi la Yehova! Chagua Rekodi ya Sauti Sisi Ni Jeshi la Yehova! Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Waefeso 6:11-14) 1. Sisi ni jeshi lake, Yehova Mungu, Ambalo latangaza, Ufalme wa Mungu. Yesu anatawala, Ndiye Mfalme. Tumejitolea Pasipo woga. (KORASI) Sisi ni jeshi lake, Yehova Mungu, Twatangaza kwamba “Anatawala.” 2. Sisi ni watumishi Wake Yehova. Twatafuta kondoo Wanaougua. Na chakula kuwapa Bila kuchoka; Tuwakaribishe Mikutanoni. (KORASI) Sisi ni jeshi lake, Yehova Mungu, Twatangaza kwamba “Anatawala.” 3. Jeshi lake Yehova Latii Kristo, Na tayari kwa vita, Likiwa imara. Laonyesha busara, Na ujasiri. Licha ya hatari, Liko imara. (KORASI) Sisi ni jeshi lake, Yehova Mungu, Twatangaza kwamba “Anatawala.” (Ona pia Flp. 1:7; Flm. 2.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Sisi Ni Jeshi la Yehova! ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Sisi Ni Jeshi la Yehova! (Wimbo Na. 71) Lugha ya Alama ya Tanzania Sisi Ni Jeshi la Yehova! (Wimbo Na. 71) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016871/sign/wpub/1102016871_sign_sqr_xl.jpg sjj 71