WIMBO NA. 75 “Mimi Hapa! Nitume Mimi! ” Chagua Rekodi ya Sauti “Mimi Hapa! Nitume Mimi! ” Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Isaya 6:8) 1. Leo watu hudhihaki, Jina tukufu la Mungu. Wasema “Hakuna Mungu! ” Eti Mungu ni dhaifu. Nani atamtetea, Na kulitakasa jina? (KORASI YA 1) ‘Bwana, Mimi hapa! N’tume. Nitakusifu daima. Ni pendeleo kubwa sana. Bwana nitume mimi.’ 2. Hawamwogopi Yehova Wadai anakawia. Sanamu waziabudu. Kaisari wamwabudu. Nani atatoa onyo, Kuhusu vita vya Mungu? (KORASI YA 2) ‘Bwana, Mimi hapa! N’tume. Nitawaonya waovu. Ni pendeleo kubwa sana. Bwana nitume mimi.’ 3. Wapole wanaugua, Mbona maovu yazidi? Kwa unyofu watafuta Ukweli wenye amani. Nani atawafariji, Upole wautafute? KORASI YA 3) ‘Bwana, Mimi hapa! N’tume. Nitawafunza wapole. Ni pendeleo kubwa sana. Bwana nitume mimi.’ (Ona pia Zab. 10:4; Eze. 9:4.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki “Mimi Hapa! Nitume Mimi! ” ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ “Mimi Hapa! Nitume Mimi! ” (Wimbo Na. 75) Lugha ya Alama ya Tanzania “Mimi Hapa! Nitume Mimi! ” (Wimbo Na. 75) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016875/sign/wpub/1102016875_sign_sqr_xl.jpg sjj 75