WIMBO NA 76 Unahisije? Chagua Rekodi ya Sauti Unahisije? Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Waebrania 13:15) 1. We‘ unahisije kuhusu kuhubiri? Kuwafundisha watu wanaopendezwa? Ujitahidipo Kutimiza huduma Na Yehova afanye kazi ya kukuza. (KORASI) Tuna shangwe, twafurahi kujitoa kikamili. Basi tumsifu Mungu. Daima dawamu. 2. We‘ unahisije wanaposikiliza? Wanapoitikia ujumbe wa kweli? Hata wakatae bado twautangaza. Twafurahi kuitwa kwa jina la Mungu. (KORASI) Tuna shangwe, twafurahi kujitoa kikamili. Basi tumsifu Mungu. Daima dawamu. 3. We‘ unahisije kuwa na pendeleo, Alilotupa Mungu la kumwakilisha? Tunajivunia kutangaza Ufalme Kuwatafuta watu wanaostahili. (KORASI) Tuna shangwe, twafurahi kujitoa kikamili. Basi tumsifu Mungu. Daima dawamu. (Ona pia Mdo. 13:48; 1 The. 2:4; 1 Tim. 1:11.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Unahisije? ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Unahisije? (Wimbo Na. 76) Lugha ya Alama ya Tanzania Unahisije? (Wimbo Na. 76) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016876/sign/wpub/1102016876_sign_sqr_xl.jpg sjj 76