WIMBO NA. 8 Yehova Ni Kimbilio Letu Chagua Rekodi ya Sauti Yehova Ni Kimbilio Letu Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Zaburi 91) 1. Yehova, kimbilio, Ndiye twatumai. Yeye ni ngome yetu; Kwake twajificha. Mungu atatuokoa, Kamwe hatutaogopa. Yehova, kimbilio, Kwa waadilifu wote. 2. Maelfu waanguka, Kando yetu sisi. Kati ya wa’dilifu, Kuna usalama. Hatuna hofu moyoni, Dhara halitatupata. Chini ya mbawa zake, Yehova atatulinda. 3. Yehova yuko nasi, Hatutajikwaa. Vitisho, hatuhofu, Hatubabaiki. Mwana-simba hatuhofu; Nyoka tutamkanyaga. Yehova, kimbilio, Atuongoza milele. (Ona pia Zab. 97:10; 121:3, 5; Isa. 52:12.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Yehova Ni Kimbilio Letu ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Yehova Ni Kimbilio Letu (Wimbo Na. 8) Lugha ya Alama ya Tanzania Yehova Ni Kimbilio Letu (Wimbo Na. 8) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016808/sign/wpub/1102016808_sign_sqr_xl.jpg sjj 8