WIMBO NA. 83 “Nyumba kwa Nyumba” Chagua Rekodi ya Sauti “Nyumba kwa Nyumba” Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Matendo 20:20) 1. Kila mlango, kila nyumba, Neno twaeneza. Mijini na vijijini, Kondoo walishwa. Ufalme unatawala, Ni habari njema. Wazee hata vijana, Wanazitangaza. 2. Kila mlango, kila nyumba, Wokovu twataja. Wanaomwita Yehova, Wataokolewa. Wataitaje jina la Wasiyemjua? Kila mlango, kila nyumba, Jina twatangaza. 3. Kila mlango, basi twende, Habari tweneze. Wakubali, wakatae, Wajiamulie. Angalau jina Lake, Twatangaza kote. Kila mlango basi twende, Kondoo tupate. (Ona pia Mdo. 2:21; Rom. 10:14.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki “Nyumba kwa Nyumba” ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ “Nyumba kwa Nyumba” (Wimbo Na. 83) Lugha ya Alama ya Tanzania “Nyumba kwa Nyumba” (Wimbo Na. 83) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016883/sign/wpub/1102016883_sign_sqr_xl.jpg sjj 83