WIMBO NA. 85 Karibishaneni Chagua Rekodi ya Sauti Karibishaneni Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Waroma 15:7) 1. Mwakaribishwa mikutanoni. Mjifunze Neno la Mungu. Linalotupa sote uhai; Tunauthamini mwaliko wa Mungu. 2. Asante Mungu, kwa wachungaji, Ndugu zetu watupendao. Twawathamini, twawaheshimu Na wengine pia twawakaribisha. 3. Enyi wanyo’fu, mwakaribishwa, Kuipata njia ya kweli. Mungu na Kristo, wametuvuta. Tukaribishane kwa moyo mweupe. (Ona pia Yoh. 6:44; Flp. 2:29; Ufu. 22:17.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Karibishaneni ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Karibishaneni (Wimbo Na. 85) Lugha ya Alama ya Tanzania Karibishaneni (Wimbo Na. 85) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016885/sign/wpub/1102016885_sign_sqr_xl.jpg sjj 85