WIMBO NA. 87 Njooni! Mburudishwe Chagua Rekodi ya Sauti Njooni! Mburudishwe Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Waebrania 10:24, 25) 1. Leo ulimwengu umepotoka; Haumtambui Mungu. Mwongozo ufaao twahitaji, Peke yetu hatuwezi. Mikutano yetu huburudisha; Imani huimarisha. Inatuchochea kutenda mema, Inatufariji sana. Hatutaacha amri za Yehova; Wala kumtumikia. Twafunzwa mema kwenye mikutano; Ili tuipende kweli. 2. Mungu ajua mahitaji yetu; Neno lake tulitii. Tununue wakati wa kuwapo, Kwenye mikutano yote. Wanaume wamwogopao Mungu, hutufunza njia zake. Ndugu na dada zetu wa kiroho, Hututegemeza sana. Twatazamia wakati ujao, Kuona wapendwa wetu. Twafundishwa maisha yafaayo, Kwa hekima toka juu. (Ona pia Zab. 37:18; 140:1; Met. 18:1; Efe. 5:16; Yak. 3:17.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Njooni! Mburudishwe ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Njooni! Mburudishwe (Wimbo Na. 87) Lugha ya Alama ya Tanzania Njooni! Mburudishwe (Wimbo Na. 87) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016887/sign/wpub/1102016887_sign_sqr_xl.jpg sjj 87