WIMBO NA. 158 ‘Haitachelewa!’ Chagua Rekodi ya Sauti ‘Haitachelewa!’ Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Habakuki 2:3) 1. Dunia yetu, inapendeza— Uliiumba kwa subira nyingi. Japo waovu, waiharibu. Unasubiri kuifanya upya. (KORASI) Baba, twatamani Paradiso ije. Tupatie subira. Siku yako yaja, haitachelewa. Iko karibu sana, Tuna hakika! 2. Utafufua waliokufa. Unatamani wawe hai tena. Baba, twajua unawapenda. Tusaidie tuwe na subira. (KORASI) Baba, twatamani Paradiso ije. Tupatie subira. Siku yako yaja, haitachelewa. Iko karibu sana, Tuna hakika! 3. Unatafuta; watu wazuri. Ili uwape uzima milele. Tunahubiri, pamoja nawe, Hilo hufanya tukukaribie. (KORASI) Baba, twatamani Paradiso ije. Tupatie subira. Siku yako yaja, haitachelewa. Iko karibu sana, Tuna hakika! Baba, tupe subira! (Ona pia Kol. 1:11.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki ‘Haitachelewa!’ ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ ‘Haitachelewa!’ Lugha ya Alama ya Tanzania ‘Haitachelewa!’ https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102022958/sign/wpub/1102022958_sign_sqr_xl.jpg sjj 158