WIMBO NA. 153 Nipe Ujasiri Chagua Rekodi ya Sauti Nipe Ujasiri Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (2 Wafalme 6:16) 1. Nina shaka, woga; Sijui yajayo. Yehova waniongoza; U karibu nami! Japo si rahisi, Sina shaka kamwe: Yah U mshikamanifu; Ni salama kwako! (KORASI) Yehova, nipe imani, Nipate kuona, Jeshi kubwa lililo nasi. Nisiwe na woga. Nipe ujasiri; Yote nihimili. Naomba ujasiri. Ushindi ni Wako! 2. Hofu hunipata, Nami ni dhaifu. Mwamba wangu, ngome yangu; Mungu mweza yote. Nipe ujasiri, Na moyo hodari. Nisiogope chochote:— Gereza, kaburi. (KORASI) Yehova, nipe imani, Nipate kuona, Jeshi kubwa lililo nasi. Nisiwe na woga. Nipe ujasiri; Yote nihimili. Naomba ujasiri. Ushindi ni Wako! (KORASI) Yehova, nipe imani, Nipate kuona, Jeshi kubwa lililo nasi. Nisiwe na woga. Nipe ujasiri; Yote nihimili. Naomba ujasiri. Ushindi ni Wako! Naomba ujasiri. Ushindi ni Wako! Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Nipe Ujasiri ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Nipe Ujasiri Lugha ya Alama ya Tanzania Nipe Ujasiri https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102022953/sign/wpub/1102022953_sign_sqr_xl.jpg sjj 153