‘Amani Kama Mto’

‘Amani Kama Mto’

 

  1. 1. Si rahisi kukabiliana,

    Na matatizo na wasiwasi.

    Twahangaika mara nyingi,

    Tukisali, atuahidi.

    (KORASI)

    Hutupatia amani

    Utulivu moyoni

    Tumaini letu,

    Latuimarisha naye yuko na sisi.

    Amani yake hudumu, amani ya kweli.

  2. 2. Mmiminie moyo wako.

    Yehova daima husikia

    Atutunza na kutufariji.

    Twapata upendo wake.

    (KORASI)

    Hutupatia amani

    Utulivu moyoni

    Tumaini letu,

    Latuimarisha naye yuko na sisi.

    Amani yake hudumu, amani ya kweli.

    (KORASI)

    Hutupatia amani

    Utulivu moyoni

    Tumaini letu,

    Latuimarisha naye yuko na sisi.

    Amani yake hudumu, amani ya kweli.