“Habari Njema”! (Wimbo wa Kusanyiko la 2024) CHEZA “Habari Njema”! (Wimbo wa Kusanyiko la 2024) Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Luka 2:10) 1. “Tangazo la furaha”— Habari njema— Kaja kutoka Bethlehemu. Yesu Mwokozi, Kazaliwa huko! (KORASI) Habari njema— Hizi za shangwe— Msifuni Yah! Habari njema— Na tuhubiri. Amezaliwa— Yeye ndiye njia. 2. Atawala kwa haki. Amani kote. Pia uzima wa milele. Ufalme wake. Hudumu milele. (KORASI) Habari njema— Hizi za shangwe— Msifuni Yah! Habari njema— Na tuhubiri. Amezaliwa— Yeye ndiye njia. (KORASI) Habari njema— Hizi za shangwe— Msifuni Yah! Habari njema— Na tuhubiri. Amezaliwa— Yeye ndiye njia. (Ona pia Mt. 24:14; Yoh 8:12; 14:6; Isa. 32:1; 61:2.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki “Habari Njema”! (Wimbo wa Kusanyiko la 2024) NYIMBO ZILIZOTUNGWA “Habari Njema”! (Wimbo wa Kusanyiko la 2024) Lugha ya Alama ya Tanzania “Habari Njema”! (Wimbo wa Kusanyiko la 2024) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1014398/univ/art/1014398_univ_sqr_xl.jpg