Kuishi kwa Amani Katika Ulimwengu Usio na Amani CHEZA Kuishi kwa Amani Katika Ulimwengu Usio na Amani Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi 1. Nisafiripo barabarani, kila siku naona. Watu wengi wanakabili shida nyingi sana. Naye Yehova anikumbusha nisubiri tu, Hata iweje wewe sali tu ili ustahimili. (KORASI) Kuwa na amani ulimwenguni, sio rahisi kweli. Kama waweza sasa, fikiria tu maisha paradisoni! 2. Mambo ni shwari kazini ila yaweza badilika. Na kwa kweli kuna fujo nami siko karibu. Nayakumbuka maneno haya usihukumu watu Hata aweje huenda si mwovu ahitaji huruma. (KORASI) Kuwa na amani ulimwenguni, sio rahisi kweli. Kama waweza sasa, fikiria tu maisha paradisoni! (DARAJA) Kuwa tofauti Kwahitaji ujasiri. Dunia mbovu ya shetani, Yehova atakulinda. 3. Mwisho wa juma tunashiriki habari hizi njema, Lakini kuna watu wasiopenda, wakasirika we! Neno la Mungu lasema wazi twamwacha kwa amani. Pasipo kuni twazima moto, twamwacha kwa amani. (KORASI) Kuwa na amani ulimwenguni, sio rahisi kweli. Kama waweza sasa, fikiria tu maisha paradisoni! (KORASI) Kuwa na amani ulimwenguni, sio rahisi kweli. Kama waweza sasa, fikiria tu maisha paradisoni! Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Kuishi kwa Amani Katika Ulimwengu Usio na Amani NYIMBO ZILIZOTUNGWA Kuishi kwa Amani Katika Ulimwengu Usio na Amani Lugha ya Alama ya Tanzania Kuishi kwa Amani Katika Ulimwengu Usio na Amani https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/502900101/univ/art/502900101_univ_sqr_xl.jpg