Mpe Yehova Utukufu CHEZA Mpe Yehova Utukufu Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Zaburi 96:8) 1. Mwenye enzi, Ee Yehova, Ukiwa ju’ mbinguni. Naweza kukupa nini Kwa upendo wako mwingi? Nitazamapo angani, Naona nguvu zako. Mimi ni nani Yehova, Unipe kibali chako? (KORASI) Ee Yehova, ninakuimbia. Wimbo wa kukusifu. Mungu wangu, mfalme milele, Unastahili sifa; Utukufu ni wako. 2. Maisha yangu nakupa. Nitakusifu wewe. Kutangaza njia zako Na kusema wema wako. Najivunia Yehova, Kukuabudu wewe. Wanipa nguvu na shangwe, Uniongoze milele. (KORASI) Ee Yehova, ninakuimbia. Wimbo wa kukusifu. Mungu wangu, mfalme milele, Unastahili sifa; Utukufu ni wako. 3. Mabonde mito bahari, Jua mwezi na nyota Hunista’jabisha mimi Upendo bila kifani. Hekima na utukufu: Naona mambo hayo. Kwa nini nisikusifu Kwa vyote ulivyoumba? (KORASI) Ee Yehova, ninakuimbia. Wimbo wa kukusifu. Mungu wangu, mfalme milele, Unastahili sifa; Utukufu ni wako. (Ona pia Zb. 96:1-10; 148:3, 7.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Mpe Yehova Utukufu NYIMBO ZILIZOTUNGWA Mpe Yehova Utukufu Lugha ya Alama ya Tanzania Mpe Yehova Utukufu https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/502900110/sign/wpub/502900110_sign_sqr_xl.jpg