Amani Milele! (Wimbo wa Kusanyiko la 2022) CHEZA Amani Milele! (Wimbo wa Kusanyiko la 2022) Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi 1. Japo machafuko Watu wa Mungu, Wanaishi kwa amani. Tuna imani, Tunatazamia Matatizo yatakwisha. (KORASI) Duniani kote, Kutakuwa na amani Milele. Toka mabondeni Na milimani, Wote wataona Amani. 2. Ulimwengu mpya, Kwa umoja Tutamsifu Yehova. Amani tele Na pia upendo— Zitaijaza dunia. (KORASI) Duniani kote, Kutakuwa na amani Milele. Toka mabondeni Na milimani, Wote wataona Amani. (KORASI) Duniani kote, Kutakuwa na amani Milele. Toka mabondeni Na milimani, Wote wataona. (KORASI) Duniani kote, Kutakuwa na amani Milele. Toka mabondeni Na milimani, Wote wataona Amani, Amani! Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Amani Milele! (Wimbo wa Kusanyiko la 2022) NYIMBO ZILIZOTUNGWA Amani Milele! (Wimbo wa Kusanyiko la 2022) Lugha ya Alama ya Tanzania Amani Milele! (Wimbo wa Kusanyiko la 2022) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1014367/univ/art/1014367_univ_sqr_xl.jpg