Ishi Milele CHEZA Ishi Milele Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi 1. Kwa kweli, si rahisi— Kuishi tofauti— Na kutenda mambo mema. (KIBWAGIZO) Na Yehova atuambia: Tuache ulimwengu. Anaahidi Paradiso. (KORASI) Simama; imara. Yehova yuko nawe; kukupa nguvu. Sali kwa bidi’ Ushinde hali ngumu katika njia. Usiwaze leo; ishi milele. 2. Watu watakusifu— Kukweza jina lako, Ufanywe mashuhuri. (KIBWAGIZO) Usifuate upepo, mtegemee Yehova. Anaahidi Paradiso. (KORASI) Simama; imara. Yehova yuko nawe; kukupa nguvu. Sali kwa bidi’ Ushinde hali ngumu katika njia. Usiwaze leo; ishi milele. (KORASI) Simama; imara. Yehova yuko nawe; kukupa nguvu. Sali kwa bidi’ Ushinde hali ngumu katika njia. Usiwaze leo; ishi milele. Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Ishi Milele NYIMBO ZILIZOTUNGWA Ishi Milele Lugha ya Alama ya Tanzania Ishi Milele https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1014372/univ/art/1014372_univ_sqr_xl.jpg