Linda Akili Yako CHEZA Linda Akili Yako Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi 1. Nataka kufanya mema. Ila nafsi yapambana— Je, kweli nitaweza. Kufanya vya kutosha. Ninakesha na kusali, Ndivyo umenifunza kufanya. Nikipatwa na woga, Yehova wanishauri (KORASI) Nilinde moyo nayo akili, Nikazie mambo mema. Sikubali kurudi nyuma. Nalinda moyo nitatulia. 2. Nataka kukupendeza, Ila mimi nalemewa, Maisha yanichosha Najihisi sifai. Lakini ninainuka Na kuhubiri habari njema. Nitashinda huzuni. Yehova wanifariji. (KORASI) Nalinda moyo nayo akili, Nakazia mambo mema. Sikubali kurudi nyuma. Nalinda moyo nitatulia. N’tatulia. (DARAJA) Sitaacha kuondoa Mawazo mabaya kamwe— Sina shaka na sisumbuki. Yehova Baba umeniwezesha. Umeniwezesha. (KORASI) Nalinda moyo nayo akili, Nakazia mambo mema. Sikubali kurudi nyuma. Nalinda moyo nitatulia. Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Linda Akili Yako NYIMBO ZILIZOTUNGWA Linda Akili Yako Lugha ya Alama ya Tanzania Linda Akili Yako https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1014346/univ/art/1014346_univ_sqr_xl.jpg