Najua Yehova Yuko Nami CHEZA Najua Yehova Yuko Nami Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi 1. Niliamka na kujiandaa. Nikatoa sala na kuondoka. Nahubiri japo, ninazuiwa. Ninamtii Mungu kwanza. (KORASI) Utumishi waniburudisha, nina amani. Yehova yuko nami na sitahofu. Yehova yuko nami na sitahofu. 2. Jioni nilitafakari mengi, Mtu aliyependezwa sana. Ninasali ili nimwone tena. Atafurahi kujua ukweli. (KORASI) Utumishi waniburudisha, nina amani. Yehova yuko nami na sitahofu. Yehova yuko nami na sitahofu. (DARAJA) Ni kama moto moyoni mwangu, Nitatangaza; jina lako. Nitatangaza kwa bidii, Nitasonga mbele mpaka mwisho. Na ndugu zangu wanapambana, Nitaimarisha imani. Nitamsifu, Yehova kwanza, Nchi mpya iko karibu. 3. Na usiku huu nilalapo, Namshukuru sana Yehova. Sijui kesho itakuaje, Ila sitakuwa peke yangu. (KORASI) Utumishi waniburudisha, nina amani. Yehova yuko nami na sitahofu. Yehova yuko nami na sitahofu. Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Najua Yehova Yuko Nami NYIMBO ZILIZOTUNGWA Najua Yehova Yuko Nami Lugha ya Alama ya Tanzania Najua Yehova Yuko Nami https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1014365/univ/art/1014365_univ_sqr_xl.jpg