Nikaribie

Nikaribie

 

  1. 1. Nilipotea.

    Yehova sasa kanikaribisha.

    Sasa sihofu tena.

    Nina rafiki wa kweli.

    Ninafarijika sana,

    Nahisi ninapendwa.

    (KORASI)

    Unikaribie na mimi,

    Nikukaribie.

    Ninataka uone,

    Na sifa zako nzuri

    Unikaribie.

  2. 2. Mara nyingine

    Ninaumia kwa dhambi za zamani,

    Nilemewapo sana.

    Nasali ili nishinde.

    Yehova ananijali

    Hunipa tumaini.

    (KORASI)

    Unikaribie na mimi,

    Nikukaribie.

    Ninataka uone,

    Na sifa zako nzuri

    Unikaribie.

    (DARAJA)

    Na kabla sijamjua,

    Aliona moyo.

    Sasa nasali kwa Mungu wangu,

    Muda wote.

    (KORASI)

    Unikaribie na mimi,

    Nikukaribie.

    Ninataka uone,

    Na sifa zako nzuri

    Unikaribie.