Nimezama Katika Mapenzi CHEZA Nimezama Katika Mapenzi Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi Nimezama Katika Mapenzi Pakua: Kurasa Zenye Alama za Muziki 1. Mungu ametupa zawadi, Zawadi ya kupendana. Wawili wanapopatana, Pindi ya pekee huanza. (KORASI) Tutaimarisha upendo wetu. Tukimruhusu, Yehova. Atuongoze sote katika yote, Kwa kweli ninajivunia Kuwa na wewe, Kuwa nawe. 2. Tutapendana, Daima licha ya magumu. Tutakuwa na uhusiano, U’sotenganishwa na yeyote. Na, na, yeyote. (KORASI) Tutaimarisha upendo wetu, Tukimruhusu, Yehova. Atuongoze sote katika yote. Kwa kweli ninajivunia Kuwa na wewe, Kuwa nawe. (DARAJA) Tutunze penzi letu. Ni zawadi bora toka kwa Mungu. Ni’tayari kufa kwa ajili yako We ni sehemu ya huu mwili wangu Mwanamke bora sana kwa mambo yote. Nitakupenda sikuzote. 3. Nachotaka utambue Jinsi navyokupenda kwa dhati. Sitaisahau ile siku, Uliyokuwa mke wangu. Mi nawe. (KORASI) Tutaimarisha upendo wetu, Tukimruhusu, Yehova. Atuongoze sote katika yote, Kwa kweli ninajivunia Kuwa na wewe, Kuwa nawe. Kwa kweli ninajivunia Kuwa na wewe. Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Nimezama Katika Mapenzi NYIMBO ZILIZOTUNGWA Nimezama Katika Mapenzi Lugha ya Alama ya Tanzania Nimezama Katika Mapenzi https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1014234/univ/art/1014234_univ_sqr_xl.jpg