Nitaenda kwa Nani? CHEZA Nitaenda kwa Nani? Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi 1. Nimemtii Yesu Kwenye hali ngumu. Ni mwanga wangu Namsikiliza. Mchungaji mwema, Ananifundisha. Huniongoza, Kwenye njia bora. (KIBWAGIZO) Kwa nini nisikie Sauti za wapinzani, Wenye nia mbaya Wanitoe njia hi’? (KORASI) Nitaenda kwa nani? Nikabilipo matatizo? Nitaenda kwa nani? Kuna hatari Kufuata mgeni. Namsikiliza Yesu tu. 2. Nahisi kuridhika Naye hunitunza, Tuna upendo Miongoni mwetu. Ninatazamia Baraka za Mungu. Katuma Mwanaye Awe Mwokozi. (KIBWAGIZO) Sitasikiliza Sauti za wapinzani. Kwa nini nitoke Niache njia hii? (KORASI) Nitaenda kwa nani? Nikabilipo matatizo? Nitaenda kwa nani? Kuna hatari Kufuata mgeni. Namsikiliza Yesu tu. (KORASI) Nitaenda kwa nani? Nikabilipo matatizo? Nitaenda kwa nani? Kuna hatari Kufuata mgeni. Namsikiliza Yesu tu. Nitaenda kwa nani? Kamwe, kamwe sitapotoshwa. Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Nitaenda kwa Nani? NYIMBO ZILIZOTUNGWA Nitaenda kwa Nani? Lugha ya Alama ya Tanzania Nitaenda kwa Nani? https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1014366/univ/art/1014366_univ_sqr_xl.jpg