Tuna Nguvu Pamoja CHEZA Tuna Nguvu Pamoja Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (UTANGULIZI) Tangazia ndugu wote! Tangaza wasikie! 1. Tuna imani, moja. Popote tupatikanapo. Tunayo lugha safi, Tunamsifu Mungu kwa shangwe. (KIBWAGIZO) Tunapopatwa, Na matatizo. Twaonyeshana upendo. (KORASI) Pamoja, hakika, tumeunganishwa. Pamoja, hakika, sisi ni imara. Pamoja, tunasonga mbele daima. Bega kwa bega tuko pamoja, sisi ni imara. 2. Ulimwenguni; kote. Japokuwa hatufanani. Twadumisha amani, Kwa utukufu wa Mungu wetu. (KIBWAGIZO) Kila mahali, Tunao ndugu Bado sisi twapendana. (KORASI) Pamoja, hakika, tumeunganishwa. Pamoja, hakika, sisi ni imara. Pamoja, tunasonga mbele daima. Bega kwa bega tuko pamoja, sisi ni imara. Pamoja, hakika, pamoja. (KORASI) Pamoja, hakika, tumeunganishwa. Pamoja, hakika, sisi ni imara. Pamoja, tunasonga mbele daima. Bega kwa bega tuko pamoja, sisi ni imara. Sisi ni imara. Sisi ni imara. Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Tuna Nguvu Pamoja NYIMBO ZILIZOTUNGWA Tuna Nguvu Pamoja Lugha ya Alama ya Tanzania Tuna Nguvu Pamoja https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1014363/univ/art/1014363_univ_sqr_xl.jpg