Ulimwengu Mpya CHEZA Ulimwengu Mpya Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi 1. Hebu piga picha akilini. Ona dunia mpya yapendeza Mko na furaha Pia na watoto wanacheza. Na wanaoitunza dunia Ni watu wanaomtii Mungu: Milele na milele— Ni amani tuliyotamani. Na tutahisi Kupendwa na Yehova Ulimwengu mpya. (KORASI) Tuna shangwe moyoni. Tumaini huimarisha. Twatazamia paradiso Tunauwazia Ulimwengu mpya. 2. Wazia kujenga nyumba yako Mahali penye mazingira mazuri. Ni makao yako. Unapofungua mlango, Wamwona ndugu yako Naye anakuja kwa shangwe Akukumbatie— Ni zamani mlionana naye. Waliokufa Watafufuka Ulimwengu mpya. (KORASI) Tuna shangwe moyoni. Tumaini huimarisha. Twatazamia paradiso Tunauwazia Ulimwengu mpya. (DARAJA) Na kila Neno lake Litatimia kwa hakika. Mapenzi ya Yehova ni Atimize mahitaji yetu. (KORASI) Tuna shangwe moyoni. Tumaini huimarisha. Twatazamia paradiso Tunauwazia Ulimwengu mpya, Ulimwengu mpya, Ulimwengu mpya, Ulimwengu mpya. Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Ulimwengu Mpya NYIMBO ZILIZOTUNGWA Ulimwengu Mpya Lugha ya Alama ya Tanzania Ulimwengu Mpya https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1014323/univ/art/1014323_univ_sqr_xl.jpg