Wewe Ni Wangu CHEZA Wewe Ni Wangu Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi 1. Wewe tu, Wangu wa pekee. Wewe tu, Sina mwingine. Sifa zako, nzuri— Zinanipendeza. Mungu wetu, Atatubariki. Pendo lako kwangu Hutuliza moyo. Unaniheshimu; Unanithamini. (KORASI) Tutakuwa na nguvu; Tukibaki pamoja. Yehova na awe nasi milele— We ni wangu. 2. Wewe ni wangu; Wanisikiliza. Kwa pamoja, Twamwabudu Mungu. Nahisi kupendwa Unanithamini. Milele ni wewe— Ninajivunia. (KORASI) Tutakuwa na nguvu; Tukibaki pamoja. Yehova na awe nasi milele— We ni wangu. Tutakuwa na nguvu; Tukibaki pamoja. Yehova na awe nasi milele— We ni wangu, We ni wangu, Wangu. Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Wewe Ni Wangu NYIMBO ZILIZOTUNGWA Wewe Ni Wangu Lugha ya Alama ya Tanzania Wewe Ni Wangu https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1014333/univ/art/1014333_univ_sqr_xl.jpg