WIMBO NA. 115 Kuthamini Subira ya Mungu Chagua Rekodi ya Sauti Kuthamini Subira ya Mungu Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (2 Petro 3:15) 1. Yehova U Mungu mkuu, Wapenda uadilifu. Nao uovu wazidi, Wajua twahuzunika. Watu wadai wakawia; Wakati wako utafika. (KORASI) Twatazamia kwa hamu, Ahadi zako zitimie. 2. Kwako miaka elfu moja, Ni kama siku moja tu. Siku yako kuu yaja. Kamwe haitakawia. Japo uovu wachukia, Wapenda watu wakitubu. (KORASI) Twatazamia kwa hamu, Ahadi zako zitimie. (Ona pia Neh. 9:30; Luka 15:7; 2 Pet. 3:8, 9.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Kuthamini Subira ya Mungu ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Kuthamini subira ya Mungu (Wimbo na. 115) Lugha ya Alama ya Tanzania Kuthamini subira ya Mungu (Wimbo na. 115) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016915/sign/wpub/1102016915_sign_sqr_xl.jpg sjj 115