WIMBO NA. 140 Uzima wa Milele—Hatimaye! Chagua Rekodi ya Sauti Uzima wa Milele—Hatimaye! Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Yohana 3:16) 1. Wazia watu wote, Wakiishi pamoja! Kwa amani na shangwe! Bila maumivu! (KORASI) Imba kwa furaha! Waweza kuwapo. Na mwishowe upate, Uzima milele! 2. Wazia siku hizo, Wote wawe vijana. Bila shida, machozi Wala woga kamwe. (KORASI) Imba kwa furaha! Waweza kuwapo. Na mwishowe upate, Uzima milele! 3. Tusifu Mungu wetu Kwa paradiso hiyo. Kila siku, tuseme “Asante Yehova! ” (KORASI) Imba kwa furaha! Waweza kuwapo. Na mwishowe upate, Uzima milele! (Ona pia Ayu. 33:25; Zab. 72:7; Ufu. 21:4.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Uzima wa Milele—Hatimaye! ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Uzima wa Milele—Hatimaye! (Wimbo Na. 140) Lugha ya Alama ya Tanzania Uzima wa Milele—Hatimaye! (Wimbo Na. 140) https://assetsnffrgf-a.akamaihd.net/assets/ct/e781f8601f/images/syn_placeholder_sqr.png sjj 140