WIMBO NA. 142 Kushikilia Tumaini Letu Chagua Rekodi ya Sauti Kushikilia Tumaini Letu Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Waebrania 6:18, 19) 1. Kwa karne nyingi watu wako gizani. Kazi zao ubatili mtupu. Inazidi kuonekana wazi: Kujiokoa hawawezi. (KORASI) Mwimbieni na kushangilia! Ufalme wake unakaribia. Uovu ataufutilia; Tumaini letu twashikilia. 2. ‘Siku ya Mungu iko karibu sana! ’ Tusilie, ‘Jamani hadi lini? ’ Karibuni tutapata uhuru. Yehova Mungu msifuni. (KORASI) Mwimbieni na kushangilia! Ufalme wake unakaribia. Uovu ataufutilia; Tumaini letu twashikilia. (Ona pia Zab. 27:14; Mhu. 1:14; Yoe. 2:1; Hab. 1:2, 3; Rom. 8:22.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Kushikilia Tumaini Letu ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Kushikilia Tumaini Letu (Wimbo Na. 142) Lugha ya Alama ya Tanzania Kushikilia Tumaini Letu (Wimbo Na. 142) https://assetsnffrgf-a.akamaihd.net/assets/ct/e781f8601f/images/syn_placeholder_sqr.png sjj 142