WIMBO NA. 17 ‘Nataka’ Chagua Rekodi ya Sauti ‘Nataka’ Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Luka 5:13) 1. Upendo wa Kristo Yesu, Ulimchochea kuja. Katujali sana, toka moyoni, Kwa maneno na matendo. Wagonjwa aliwaponya, Viziwi, vipofu pia. Kazi yake aliitimiza. Na alisema: ‘Nataka.’ 2. Tumwige Mwana wa Mungu, Kila siku maishani. Tuonyeshe watu tunawapenda, Neno Lake wajifunze. Fadhili tuwaonyeshe, Kwa maneno na matendo. Wajane nao yatima pia, Tuwaambie: ‘Nataka.’ (Ona pia Yoh. 18:37; Efe. 3:19; Flp. 2:7.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki ‘Nataka’ ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ ‘Nataka’ (Wimbo Na. 17) Lugha ya Alama ya Tanzania ‘Nataka’ (Wimbo Na. 17) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016817/sign/wpub/1102016817_sign_sqr_xl.jpg sjj 17