WIMBO NA. 18 Tunathamini Fidia Chagua Rekodi ya Sauti Tunathamini Fidia Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Luka 22:20) 1. Twasimama mbele za kiti cha enzi, Yah ulituonyesha Upendo mkubwa. Ulitoa Mwana wako wa pekee. Ni zawadi kubwa sana, twaithamini. (KORASI) Alimwaga damu yake. Tupate kuwekwa huru. Twashukuru, kwa moyo wetu wote milele. 2. Kwa hiari Yesu Katoa dhabihu. Na kwa upendo katoa Uhai wake. Kafungua njia Tupate wokovu. Sasa tumaini la uzima tunalo. (KORASI) Alimwaga damu yake. Tupate kuwekwa huru. Twashukuru, kwa moyo wetu wote milele. (Ona pia Ebr. 9:13, 14; 1 Pet. 1:18, 19.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Tunathamini Fidia ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Tunathamini Fidia (Wimbo Na. 18) Lugha ya Alama ya Tanzania Tunathamini Fidia (Wimbo Na. 18) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016818/sign/wpub/1102016818_sign_sqr_xl.jpg sjj 18