WIMBO NA. 84 Tumejitoa Kutumikia Chagua Rekodi ya Sauti Tumejitoa Kutumikia Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Mathayo 9:37, 38) 1. Baba yetu, anajua. Kuna shangwe kutumika. Anatupa fursa nyingi. Tupanue utumishi. (KORASI) Twafanya twezayo Kwa nguvu zote Kwenye uhitaji, twaenda. Tumejitoa. 2. Kuna mengi ya kufanya Twawajali watu wote. Na wakati wa majanga, Twaandaa misaada. (KORASI) Twafanya twezayo Kwa nguvu zote Kwenye uhitaji, twaenda. Tumejitoa. 3. Nazo kazi za ujenzi Twashiriki kwa bidii. Lugha mpya twajifunza Tufundishe wote kweli. (KORASI) Twafanya twezayo Kwa nguvu zote Kwenye uhitaji, twaenda. Tumejitoa. (Ona pia Yoh. 4:35; Mdo. 2:8; Rom. 10:14.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Tumejitoa Kutumikia ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Tumejitoa Kutumikia (Wimbo Na. 84) Lugha ya Alama ya Tanzania Tumejitoa Kutumikia (Wimbo Na. 84) https://assetsnffrgf-a.akamaihd.net/assets/ct/e781f8601f/images/syn_placeholder_sqr.png sjj 84