WIMBO NA. 86 Lazima Tufundishwe Chagua Rekodi ya Sauti Lazima Tufundishwe Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Isaya 50:4; 54:13) 1. Njo’ni mjifunze kuhusu Yehova. ‘Njo’ni mnywe maji ya uzima.’ Mafunzo mema yake Yehova. Wenye njaa wote watalishwa. 2. Na mikutano kamwe tusisahau, Lazima tufundishwe na Mungu. Hapa palipo roho ya Mungu, Tunatembea katika nuru. 3. Nyimbo tuimbazo zatutia moyo! Sauti tamu za ndugu zetu! Tukutanike na watu Wake. Sikuzote tusikosekane. (Ona pia Ebr. 10:24, 25; Ufu. 22:17.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Lazima Tufundishwe ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Lazima Tufundishwe (Wimbo Na. 86) Lugha ya Alama ya Tanzania Lazima Tufundishwe (Wimbo Na. 86) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016886/sign/wpub/1102016886_sign_sqr_xl.jpg sjj 86