WIMBO NA. 91 Kazi Yetu ya Upendo Chagua Rekodi ya Sauti Kazi Yetu ya Upendo Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Zaburi 127:1) 1. Yehova twasimama, Mbele zako leo hii. Umeibariki Kazi yetu ya ujenzi. Sasa tunaliona, Jengo linalopendeza. Na mioyo yetu, Imejawa na shukrani. (KORASI) Ee, Yehova, ni pendeleo, Kulijenga jengo hili. Twataka kukutumikia sikuzote, Na kukusifu kwa yote. 2. Tuna furaha nyingi, Tumepata marafiki! Hatutasahau, La hasha—hadi milele! Yehova roho yako, Imekuwa juu yetu. Wastahili sifa; Jina lako litukuzwe! (KORASI) Ee, Yehova, ni pendeleo, Kulijenga jengo hili. Twataka kukutumikia sikuzote, Na kukusifu kwa yote. (Ona pia Zab. 116:1; 147:1; Rom. 15:6.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Kazi Yetu ya Upendo ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Kazi Yetu ya Upendo (Wimbo Na. 91) Lugha ya Alama ya Tanzania Kazi Yetu ya Upendo (Wimbo Na. 91) https://assetsnffrgf-a.akamaihd.net/assets/ct/e781f8601f/images/syn_placeholder_sqr.png sjj 91