WIMBO NA. 92 Mahali Panapoitwa kwa Jina Lako Chagua Rekodi ya Sauti Mahali Panapoitwa kwa Jina Lako Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (1 Nyakati 29:16) 1. Ni pendeleo, Ee, Yehova, Kukujengea mahali! Twakutolea kwa shukrani. Heshima na sifa kwako. Vyote tunavyokupatia, Vimetoka kwako wewe. Kazi, stadi, na mali zetu, Twatoa kwa moyo wote. (KORASI) Tunakupa jengo hili, Liitwe jina lako. Twaliweka wakfu kwako; Lipokee, twaomba. 2. Wastahili heshima, Baba, Uzidi kupata sifa. Utukufu upande juu. Wengi wajiunge nasi. Pawe mahali pa ibada. Tutapatunza vizuri. Watu wapate kukujua, Na kazi isonge mbele. (KORASI) Tunakupa jengo hili, Liitwe jina lako. Twaliweka wakfu kwako; Lipokee, twaomba. (Ona pia 1 Fal. 8:18, 27; 1 Nya. 29:11-14; Mdo. 20:24.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Mahali Panapoitwa kwa Jina Lako ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Mahali Panapoitwa kwa Jina Lako (Wimbo Na. 92) Lugha ya Alama ya Tanzania Mahali Panapoitwa kwa Jina Lako (Wimbo Na. 92) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016892/sign/wpub/1102016892_sign_sqr_xl.jpg sjj 92