WIMBO NA. 113 Amani Tuliyo Nayo Chagua Rekodi ya Sauti Amani Tuliyo Nayo Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Yohana 14:27) 1. Tumsifu Yehova, Mwenye amani, Atakomesha vita, Kuwe amani. Mkuu wa amani, Ni Kristo Yesu. Kutakuwa amani, Atawalapo. 2. Tumeacha ghadhabu, Na chuki pia. Mapanga na mikuki, Tumebadili. Ili kuwe amani, Tutasamehe, Na kuishi pamoja, Kama “kondoo.” 3. Amani ya Yehova, Baraka kwetu. Tutii maagizo, Toka moyoni. Wengine na waone, Tuna amani. Hadi Ufalme uje, Kuwe amani. (Ona pia Zab. 46:9; Isa. 2:4; Yak. 3:17, 18.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Amani Tuliyo Nayo ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Amani Tuliyo Nayo (Wimbo Na. 113) Lugha ya Alama ya Tanzania Amani Tuliyo Nayo (Wimbo Na. 113) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016913/sign/wpub/1102016913_sign_sqr_xl.jpg sjj 113